Sunday, 2 July 2017

Karibu!

Karibu katika blogu hii ya kumtukuza Yesu Kristo. Tutakua tunatoa masomo kila wakati ya kuinuana na kufahamishana habari za Kristo. 
Kama ungependa kushiriki unaweza kutuma email biblestudytanzania@gmail.com. Na kama ungependa kupata masomo kila siku subscribe kwa email na utatumiwa masomo ya kila siku.

Karibu sana. 

No comments:

Post a Comment